Monday, April 27, 2015

USAFI WA MAZINGIRA KATIKA AFYA.



Katika kuendelea kukufahamisha kuhusina na usafi wa mazingira katika Nyanja mabimbali leo nitakueleza kuhusiana na usafi wa mazingira katika afya sehemub hii usafi na afya ya mazingira inafanya kazi kuhakikisha upataji endelevu wa afya bora, hali bora ya afya na usafi kwa jamii za mijini na vijijini ili kufikia lengo la kuwa jamii yenye afya na maisha bora itakayo changia kwa ukamilifu maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa.

Afya ya mazingira ina athari kubwa ya pili ya kupunguza kupata magonjwa ya tumbo na kupunguza athari kwa kiasi cha asilimia ndogo uhakika wa chakula upataji wa maji safi ya kunywa na vyoo bora vinaweza kusafishwa wakati wote na kunawa mikono kwa sabuni kunao matokeo makubwa katika kupunguza uambukizaji wa magojwa ikiwemo magojwa ya tumbo kupunguza hali hiyo kwa asilimia kubwa hata hivyo eilimu kuhusu tabia ya usafi haswa kunawa mikono kwa sabuni ni za kiwango kidogo sehemu hii inahakikisha kwamba watu wapate chakula chenye lishe na virutubisho vya kutosha na maji salama ni muhimu kwa kula vyakula vya kutosha na kunywa maji salama ni muhimu kwa kulinda usalama wa afya na ustawi wa kila mmoja kwa kina mama wajawazito na watoto.
wananchi wakiangalia ni jinsi gan ya kusafisha  mazingira kwajili yausalama wa afya zao 

Si maji ambayo ni muhimu tu kuendesha lakini lishe bora inatakiwa katika sehemu mbalimbali za chakula zenye vitamin na madini ya kutosha ni msingi wenye mlo ambao afya za watoto wenye umri chini ya miaka mitano wako hatarini Zaidi kupata utapiamlo ili kuepuka ukosefu wa lishe unaosababisha uchofu na udhaifu unaokwaza au huduma za ukuaji wa mwili na akili haswa kwa watoto na kuongeza urahisi wa kuambukiza magonjwa mengine ya hatari kama vile kichomi hatua zinachukuliwa kuboresha chakula, maji usafi na afya ya mazingira.

Umuhimu wa kutunza mazingira katika afya ni wa lazima ili kuboresha afya za watu wite kwasababu mazingira yakiwa masafi hata afya lazima ziwe nzuri kwani mazingira masafi ndio yanafanya afya iwe nzuri na kuepuka magonjwa ya milip[uko kama vile magojwa ya milipuko na magonjwa ya kicocho ambayo yataathiri afya kitu ambacho kinatakiwa kufanya ni kuhakikisha mazingira ni masafi kwa ajili ya afya zet pamoja na kujilinda na magojwa.



watu wengi hawafanyi usafi katika maeneo yao kwa mfano mfanya biashara anafanya usafi katika eneo lile mabalo atakuwa atauzia chakula lakin i mazingira ya nje yanakuwa cio masafi kwani anakuwa hafanyi na hivyo ndio wale watu wanaokula vyakula pale wanakuwa na afya ambayo cio nzuri kwasababu ya mazingira ambayo yanakuwa sio masafi.

Thursday, April 23, 2015

USAFI WA MAZINGIRA KATIKA BIASHARA


Usafi ni swala linalohusu nyumbani au mwili wako pekee bali pia ni muhimu kwa mazingira yanayotuzunguka eneo la biashara. Unapoendesha biashara mfano chakula huku eneo ambalo unafanyia biashara likiwa limezungukwa na maji machafu au uchafu mwingine licha ya hatari ya kuleta magojwa kwako na kwa  wateja ni rahisi sana pia kukimbiwa na watejsa.uchafu hukaribisha nzi wanaosambaza magonjwa, kama vile kipindupindu na magojwa mengine ya tumbo.
Kutokana na uchafu kutokuwa na faida wafanya biashara hawana budi kuhakikisha wanatunza na kusafisha mazingira ya biashara zao kila siku.kuna  maeneo ambayo watumiaji wa bidhaa zinazozalishwa katika mazingira machafu hawana jinsi ya kupata huduma ya chakulahivyo kulazimika kula kilichopo katika hali yeyote.
Hakuna huruma kwa mtu mchafu Zaidi ya kumkimbia na kutafuta eneo jingine la kulana kununua bidhaa nyingine mahali pasafi penye hewa nzuri, mwanga wa kutosha na nafasi, ndio mteja mwenye kupenda kufahamu dhamani ya fedha anayolipa kwa ajili ya huduma atapenda kufika kupata huduma..
Kutokana na maelezo  yanayotolewa na wataalamu wa maswala ya usafi katika biashara wakiwemo wanaoendesha mtandao wa usafi katika biashara ni jambo la lazima.


mazingira ya kufanyia biashara yakionekana katika hali ya usafi
Hata hivyo wanasema, baadhi ya wafanyabiashra wanachukulia suala la usafi katika biashara kuwa jambo la hilari . inaelezwa kuwa wanafanya hivyo wakiamini kwamba kuweka mazingira ya biashara zao kwaenye hali ni kupenda kwa mfanya biashra husika.
Kutokana na kinachoelezwa na wataalamu katika mitandao hiyo ni vizuri wafanyabiashara wakajiuliza, usafi ni kwa faida ya nani? Nadharia ni kwamba hakuna anayeaweza  kwenda kununua bidhaa Fulani katika duka  flani lililoko katika eneo chafu halafu akakaa kimya.wengi huzungumza walichikiona kwa marafiki na famialia kuonesha kuwa wamekerwa.
Kuzungumza huko kunaonyesha kukerwa , jambo ambalo kuna mtandao unasema ndio maana wanayasema yote mabaya kwa wengine hivyo kufanya biashara husika ishuke umaarufu na kukosa wateja .mteja mmoja akiona jambo baya linlohusu usafi ni lazima ataifikiria afya yake.
Anapokuwa akilalamika mwingine naye anasikia na kumweleza jirani yake.kusambaa huko kwa taarifa kunaweza kumsababishia mwenye biashara iliyozingirwa na usafu au inayotelekezwa na wahudumu wachafu hasara.
Wafanyabiashara wanaoelewa umuhimu wa usafi wanataka wenzao waelewe umuhimu wa usafi wanataka wenzao waelewe kuwa wateja wanao wahudumia kwa kuwauzia bidhaa au huduma mbalimbali wanaelewa thamani na umuhimu wa usafi wa mazingira yanayozunguka biashara.

USAFI WA MAZINGIRA KATIKA SEKTA YA CHAKULA



Mpenzi msomaji leo katika blog hii tutaangalia   usafi wa mazingira katika sekta ya chakula ni ya matibabu ya kutosha ya nyuso  ya vyakula katika utaratibu huo ni ufanisi katika kuharibu seli ya microorganism ya umuhimu wa afya ya umma na kikubwa kupunguza idadi nyingine, lakini yanaadhiri bidhaa au usalama wake kwa ajili ya matumizi na dawa ya utawala kanuni za shirikisho kanuni za uendeshaji wa darasa la usafi  wa mazingira ni lazima kwa ajili ya viwanda chakula sehemu mbalimbali ambapo umewekwa katika maeneo mengi ili kushirikiana na watu tofauti tofauti . usafi wa mazingira ya chakula umefikiwa kwa njia ya kufuata sheria ya chakula na usafi wa mazingira.

Zaidi ya hayo katika viwandwa vya chakula bayofamasia ya usafi wa vifaa unamaanisha vifaa ambavyo vinaoshwa kutumia utaratibu wa clear in place na sterization in placetaratibu hizi za kutoa mchanganyiko wa usafi wa mazingira katika chakula pia unaweza kuosha vyombo vyako kwa kutumia dawa, pia maji ya uvuguvugu ili kuuwa vijidudu vidogo vidogo kwenye vyombo ambavyo utatumia wakati kwa kuandaa chakula kwa ujumla ili kuboresha usafishaji vifaa hivi hutengenezwa kwa chuma cha pua kisicho ingia kutu
mazingira safi ya kuandaa chakula

Monday, April 20, 2015

USAFI WA MAZINGIRA NA AFYA YA UMMA


Umuhimu wa kutengeneza taka upo katika jitihada za kuzuia maji na usafi wa mazingira kuhusiana na magojwa yanayoathiri nchi zilizoendelea na zinazoendelea kwa viwango mbalimbali. Inakadiriwa kuwa hadi watu Zaidi ya milioni 5 wanakufa kila mwaka kutokana na magonjwa yanayozuilika yanayotokana na maji kwa sababu ya upungufu wa usafi wa mazingira. Athari za usafi wa mazingira zimeathiri jamii sehemu kubwa na kwa kuzingatia usafi wa mazingira hali ya juu ya usafi wetu ambao unafanyika katika mazingia yetu unaleta mvuto kutokana na mazingira tunayoyaishi.
mtoto akichota maji katika mazingira yasiyo salama.

UKUSANYAJI WA MAJI MACHAFU KATIKA MAZINGIRA



Ukusanyaji wa maji machafu

Teknolojia ya hali ya usafi katika maeneo ya miji inazingatia mkusanyiko wa maji machafu katika mifereji ya maji machafu, matibabu yake maji machafu mmea matibabu kwa tumia upya au taka katika mito, maziwa au bahari. Mabomba ya maji machafu aidha huwekwa pamoja na dhoruba ya unyevu au kutengwa kutoka kwao usafimfereji wa maji machafu usafi mfereji wa maji machafu. Haya mabomba ya maji chafu hupatikana katika sehemu kuu zaidi, au maeneo ya mijini. Mvua nzito na utunzaji mbaya wa mabopa ya maji machafu inaweza kusababisha uchafu kufurika, katika mazingira. Viwanda mara nyingi humiminiza maji machafu katika mapomba ya Manispaa. Haya hufanya matibabu ya maji machafu kuwa ngumujapo viwanda havikutibu maji yao kabla ya kuiachilia kwenye mabomba ya Manisipaa.
Gharama ya uwekezaji ya mifumo ya kisasa ya ukusanyaji wa maji machafu ni kubwa na ngumu kununua kwa mataifa yanayoendelea. Baadhi ya nchi hiyo kukuzwa mifumo mbadala kukusanya maji machafu kama vile condominial majitaka, ambayo inatumia mabomba madogo upenyo wa kina chini kwa layouts mbalimbali kutoka mtandao wa majitaka ya kawaida.

Matibabu ya maji taka

Mtambo wa kutibu maji taka
Katika nchi zilizoendelea, matibabu ya maji taka katika manispaa yanafanywa kwa wingi, lakini bado hayafanyiki kila pahali duniani. Katika nchi zinazoendelea maji machafu bado ina achiliwa katika mazingira bila kutibiwa. Kwa mfano, katika Amerika ya Kusini 15% ya majitaka zilizokusanywa ndio ilitibiwa tibiwa (tazama maji na usafi wa mazingira katika Amerika ya Kusini)

 

 

 

mtambo wa kutibu maji machafu

  

 

Utumiajia upya wa maji machafu

katika nchi zinazoendelea , utumizi wa maji taka kwa kilimo cha unyunyizaji ni wa kawaida. Utumuzi upya wa maji chafu yaliotibiwa kwa mandhari ya kutengeneza vingoe, kilimo cha unyuzisaji maji na viwandani unazidi kuenea.
Kaya nyingi na vijiji hazijaunganishwa na mifereji ya maji machafu. Wao huelekeza maji taka yao kwa mabomba au aina nyingine zilizo karibu na eneo la ujenzi. Usafi wa mazingira kwa wakati mwingine hufafanuliwa kama mapindfuzi mbadala wa mifumo ya usafi wa mazingira wa kawaida.