Monday, April 20, 2015

USAFI WA MAZINGIRA NA AFYA YA UMMA


Umuhimu wa kutengeneza taka upo katika jitihada za kuzuia maji na usafi wa mazingira kuhusiana na magojwa yanayoathiri nchi zilizoendelea na zinazoendelea kwa viwango mbalimbali. Inakadiriwa kuwa hadi watu Zaidi ya milioni 5 wanakufa kila mwaka kutokana na magonjwa yanayozuilika yanayotokana na maji kwa sababu ya upungufu wa usafi wa mazingira. Athari za usafi wa mazingira zimeathiri jamii sehemu kubwa na kwa kuzingatia usafi wa mazingira hali ya juu ya usafi wetu ambao unafanyika katika mazingia yetu unaleta mvuto kutokana na mazingira tunayoyaishi.
mtoto akichota maji katika mazingira yasiyo salama.

1 comment: