Monday, April 27, 2015

USAFI WA MAZINGIRA KATIKA AFYA.



Katika kuendelea kukufahamisha kuhusina na usafi wa mazingira katika Nyanja mabimbali leo nitakueleza kuhusiana na usafi wa mazingira katika afya sehemub hii usafi na afya ya mazingira inafanya kazi kuhakikisha upataji endelevu wa afya bora, hali bora ya afya na usafi kwa jamii za mijini na vijijini ili kufikia lengo la kuwa jamii yenye afya na maisha bora itakayo changia kwa ukamilifu maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa.

Afya ya mazingira ina athari kubwa ya pili ya kupunguza kupata magonjwa ya tumbo na kupunguza athari kwa kiasi cha asilimia ndogo uhakika wa chakula upataji wa maji safi ya kunywa na vyoo bora vinaweza kusafishwa wakati wote na kunawa mikono kwa sabuni kunao matokeo makubwa katika kupunguza uambukizaji wa magojwa ikiwemo magojwa ya tumbo kupunguza hali hiyo kwa asilimia kubwa hata hivyo eilimu kuhusu tabia ya usafi haswa kunawa mikono kwa sabuni ni za kiwango kidogo sehemu hii inahakikisha kwamba watu wapate chakula chenye lishe na virutubisho vya kutosha na maji salama ni muhimu kwa kula vyakula vya kutosha na kunywa maji salama ni muhimu kwa kulinda usalama wa afya na ustawi wa kila mmoja kwa kina mama wajawazito na watoto.
wananchi wakiangalia ni jinsi gan ya kusafisha  mazingira kwajili yausalama wa afya zao 

Si maji ambayo ni muhimu tu kuendesha lakini lishe bora inatakiwa katika sehemu mbalimbali za chakula zenye vitamin na madini ya kutosha ni msingi wenye mlo ambao afya za watoto wenye umri chini ya miaka mitano wako hatarini Zaidi kupata utapiamlo ili kuepuka ukosefu wa lishe unaosababisha uchofu na udhaifu unaokwaza au huduma za ukuaji wa mwili na akili haswa kwa watoto na kuongeza urahisi wa kuambukiza magonjwa mengine ya hatari kama vile kichomi hatua zinachukuliwa kuboresha chakula, maji usafi na afya ya mazingira.

Umuhimu wa kutunza mazingira katika afya ni wa lazima ili kuboresha afya za watu wite kwasababu mazingira yakiwa masafi hata afya lazima ziwe nzuri kwani mazingira masafi ndio yanafanya afya iwe nzuri na kuepuka magonjwa ya milip[uko kama vile magojwa ya milipuko na magonjwa ya kicocho ambayo yataathiri afya kitu ambacho kinatakiwa kufanya ni kuhakikisha mazingira ni masafi kwa ajili ya afya zet pamoja na kujilinda na magojwa.



watu wengi hawafanyi usafi katika maeneo yao kwa mfano mfanya biashara anafanya usafi katika eneo lile mabalo atakuwa atauzia chakula lakin i mazingira ya nje yanakuwa cio masafi kwani anakuwa hafanyi na hivyo ndio wale watu wanaokula vyakula pale wanakuwa na afya ambayo cio nzuri kwasababu ya mazingira ambayo yanakuwa sio masafi.

No comments:

Post a Comment