Monday, April 13, 2015

USAFI WA MAZINGIRA

mazingira safi
Ni njia ya kuendeleza afya kwa njia ya kuzuia mawasiliano ya binadamu na athari za taka. Athari zinaweza kuwa za kimwili mikrobiyologia au kemikali a ugojwa. Taka ambazo zinaweza kusababisha matatatizo ya afya ni kinyesi cha binadamu , na cha wanyama, pamoja na taka ngumu maji machafu taka za viwandani na taka za kilimo.usafi kama njia ya kuzuia magojwa unaweza kutumika kwa ufumbuzi handisi kama maji machafu tachnologia rahisi kama vyoo au matendo ya usafi binafsi kama uoshaji wa mikono kwa sabuni. Usafi wa mazingira kama inavyoelezwa kwa ujumla na shirika la afya duniani (world health organization) inahusu utoaji wa vifaa na huduma ya usalama wa mkojo na kinyesi cha binadamu .Upungufu wa usafi wa mazingira ni sababu kuwa ya maradhi duniani kote .Uboreshaji wa mazingira una manufaa makubwa kwa athari za afya ya wote katika kaya na katika jamii. Usafi wa mazingira unahusu pia udumishaji wa ratiba ya usafi kwa njia ya huduma kam avile ukusanyaji wa takana maji machafu.

No comments:

Post a Comment